2 years ago

Maelfu ya watu wameshuhudia ibada ya kutawazwa kuwa mtakatifu, ambapo Papa Francis amemtangaza mtawa Mama Teresa kuwa mtakatifu.

Maelfu ya watu wameshuhudia ibada ya kutawazwa kuwa mtakatifu, ambapo Papa Francis amemtangaza mtawa Mama Teresa kuwa mtakatifu.

Raia huyo wa Albania ambaye alifariki mwaka wa 1997 alianzisha shirika la hisani la kimishenari ili kuwasaidia walala hoi katika mtaa wa mabanda wa Calcutta nchini India.

2 years ago

KUMBE PAPA MISIFA NI MTU MUHIMU SANA KATIKA MAENDELEO YA DIAMOND PLUTNUMZ .#KUNANI-LEO.wallinside.com

KUMBE PAPA MISIFA NI MTU MUHIMU SANA KATIKA MAENDELEO YA DIAMOND PLUTNUMZ  .#KUNANI-LEO.wallinside.com

 Papa misifa anasema kua yeye alimchukulia Diamond plutnumz kama mwanae baada ya kukabidhiwa kutoka kwa Bi Sandra(Mama yake Mond)..

 Papa misifa anasema kuwa Diamond alikua ni lapper lakini akamwambia live kua mdogo wangu kuimb read more...